Jana baada ya LULU kurudi na kupokelewa kwa shangwe baada ya kupokea tuzo nchini Nigeria imeleta utata baada ya waigizaji wenzake kutoshiriki kwenye mapokezi hayo, licha ya hivyo hats alipikua nchini Nigeria mmoja wa waigizaji wenzake wakike maarufu kama Irene uwoya hakuweza kupost picha ya lulu kwenye mtandao wa kijamii wa instagram picha alizoweka kwenye account yake ya intagram ni Msanii wa Bongo movie alikua mshindi wa Tuzo hizo nchini Nigeria (Richie)
Tukio hilo limeibua utata kwani wote ni wasanii wa Bongo movie na hawakua na ugomvi wowote.
Ila licha ya kutokupost picha za ushindi alioupata Lulu watuzo UWOYA aliibuka tena baada ya kumtusi Lulu kwenye account yake ya mtandao wa kijamii ya instagram.
Lulu nae akamjibu
Comentarios