Je umejipangaje kuhusu iddi il-fitri?

Kwasababu ya vijana wengi baada ya mwezi mtukufu waramadhan kumalizika huwana penda disco wakat kipindi cha mfungo walikua wana tenda mema je hukuni kumuogopa mwenyezimungu au mwezimtukufu?

Comentarios