Naseeb blog: sakata la madawa ya kulevya nchini limekua gumzo.

Ni baada yakuzidi kugundua watu wanaojihusisha na madawa yakulevya wikiiliopita waziri aliorozesha watu wanaojihusisha namadawa ya kulevya hapa nchin kwenyemtandao.kwa siku ya leo imeshangaza watu wengi baada ya kusemekana kua msanii wakizazi kipya hapa nchini Nasib abdul maarufu kama Diamond ametajwa ni miongoni mwa wauzaji wakubwa wa madawa yakulevya nchi za nje. Diamond yeye amesema kwamba hakuna ukeli ndani yake kwan alipo kua kwenye ziara yake uingereza mizigo yake ilikaguliwa nakuruhusiwa kwan hakuna ukwel ndani yake. Diamond anasema kua watanzania ni mashaidi kwani wanajua ni mudagani alikua ana chumia juani sasa anakulia kivulin. Hadi sasa mali zake zina fanyiwa uchunguz na jesh la police.

Comentarios