Swala la tindikal kutumika kama silaha limekua tishio kwa watu wengi wenye usafiri wa magari kudai kua wana hofu kwamba unaweza kuwa umeshusha vioo ukamwagiwa baadhi ya wananchi wenye usafir wa magari kutokua na amani wawapo barabaran na kufunga vioo.
Comentarios