Naseeb blog;Kombe la mbuzi mshindi. je wajua ninan?

ni kivumbi fainal ya kombe la mbuz. mechi iliyo cheza jana j'pili kati ya ZAMZAM v/s DOGO SAMMY BOY'S.Na walioibuka na ushindi DOGO SAMMY.Japokua magoli yote walio fungana ni halali lakin kulikua kuna vipingamiz baada ya zamzam kufungwa goli la pili.Mechi imeisha ikiwa ni 2 ~0.

Comentarios