Upinzan kufa nivigumu

Mechi iliyochezwa jana katiya simba/yanga ilikua inaupinzan mkubwa kuanzia kwa viongozi wa timu zote mbili hadi kwa washabiki mpaka jana washabiki wawili wa simba kuzimia kipindi chakwanza çhampira baada yakufungwa mabao matatu.

Comentarios