madawa ya kulevya yanapoteza malengo ya mtu,yanakuathiri kiakili na kimwili. vingine kwamfano hai ukitazama maisha ya Rehema Chagula(RAY C),Maisha yake yote ambayo alikua akijihusisha na madawa yakulevya yamekua ovyo nakupoteza muonekano katika kazi yake ya sanaa. ITAENDELEA
Comentarios