FAHAMU KUHUSU EMIRATES INAVYO INUA SOKA DUNIANI!!!' EBU SOMA HAPA!


ARSENAL NA UWANJA WA EMIRATES
Mwaka 2012,emirates na arsenal zilisaini mkataba mpya wa miaka mitano(5) wenye thamani ya pauni 150milion,ambapo wachezaji wa Arsenal wataendelea kuvaa jezi zilizo andikwa'Fly Emirates'mpaka msimu wa 2018/2019.

Ujenzi wa uwanja wa Emirates unao milikiwa na Arsenal ulimalizika mwaka 2006 kwakutumia kiasi cha Pauni390milioni.



JEZI YA REAL MADRID

Shirika la ndege la Fly Emirates lilionyesha kua lina nia yadhati ya kusaidia  mchezo wa sokana kujitangaza duniani baada ya kuingia mkataba na klabu Real Madrid.
mwaka jana Emirates iliingia mkataba na klabu hiyo itakua ikivaa jezi zilizoandikwa'FLY EMIRATES'.





Comentarios