Licha yakua mkurugrnzi wa kampuni ya mtanashati entertainment OSTAZ JUMA NAMUSOMA akitupia picha za mke wake wa ndoa na mtoto wake kwenye account yake ya instergram na Facebook mara kwa mara nakua
ndika maneno yanayo onyesha upendo wa dhati kwa familia yake lakini chaajabu akutwa akila bata na mwanadada ambae ni msanii wa bongo fleva VANESSA MDEE, huko nchini KENYA katika club moja ijulikanayo ( SKYLUX)iliyopo katikati ya jiji la nairobi.
 |
OSTAZ JUMA NAMUSOMA NA RAFIKI YAKE PETII KARATA |
 |
BOSS OSTAZ JUMA NA VANESSA MDEE |
 |
VANESSA MDEE, OSTAZ JUMA NA PETII. |
 |
BOSS WA MTANASHATI NA VANESSA MDEE. |
Huku wakipiga picha za kutatiza wakiwa wamesogeleana kwaukaribusanakiasi ambacho kila mmoja anapata joto la mwenzake,,.
Comentarios