PICHA ZA MSANII MPYA KUTOKA KUNDI LA (MTANASHATI ENTERTAINMENT)

Chini ya OSTAZ JUMA NA MUSOMA sasa anatarajia kufanya kazi zake chini ya kampuni hiyo.


Msanii huyo anaejulikana kwajina la OPIYO MUSSA a.k.a FIRE STAR ambaye ni mkazi wa jijini Mwanza, kwasasa atakua rasmi kampuni ya MTANASHATI kwa BOSS OSTAZ JUMA NAMUSOMA.

Comentarios