WASANII CHIPKIZ NCHINI KENYA WAMSAKA BOSS WA MTANASHATI OSTAZ JUMA NAMUSOMA.

LOVEMAMS

BOSS OSTAZ JUMA NAMUSOMA
Taarifa kutoka mitandao ya KENYA inaonyesha mwanadada anaejulikana kwa jina la (MARIAM FAREED) a.k.a LOVEMAMS anaeish KENYA mjini MOMBASA .
Amefanikiwa kumpata Boss wa MTANASHATI ENTERTINMENT OSTAZ JUMA NAMUSOMA na kumuomba kufanyanae kazi, Pamoja hatujapata mawasiliano na Boss huyo lakin nyeti tulizo nazo ni kwamba mwanadada huyo tayari kuingia rasmi kwa kampuni hiyo sasa na wameisha anza michakato ya kazi wakiwa nchini KENYA.

Comentarios