Apatikana:YULE DADA ALIYO SEMEKANA NI MSUKULE..

Picha za yule dada zilizo sambaa kwa haraka kwenye mitandao na kusemekana ni msukule, habari kamili.

Baada ya polisi kumtoa katika lile chemba na kuondoka nae kwaajili ya mahojiano baada ya kufika katika kituo cha polisi hawakuweza kumwona na kusema kapotea bila wao kujua.

Kwa habari zaidi yule dada kumbe sio msukule ni mtu na familia yake na ni mama wa watoto wawili ambapo hatukuweza kuwa fahamu majina,na ana ndugu zake wengi jijini dar.
Tulipo jaribu  kuongea na ndugu wa dada huyo inasemekana hua ana matatizo ya akili(KICHAA)na walikua wakimtafuta sana,ila na mmewe alipo hojiwa nae alisema aliaga anaenda kwa mama yake ndo alipo potea.
Tulipo pata mama wa binti huyo alisema kua binti yake ilotatizo lilikua likimsumbua ila kuhusu kwa picha zake kusambaa mitandaoni limemuumiza kama mama mzazi wa binti huyo. Ila jana majira ya jion amepatikana.

Dada huyo amefahamika kwa jina  la UPA.

Upa katika ubora wake
Mama mzazi/ dada mkubwa wa Upa
Alivyo patikana
Mme wa Upa akiwa na mtoto wake

Comentarios