Teknolojia kubwa kuliko ya Apple imetaarifiwa kushuka katika mauzo ya simu zake zijulikanazo kama‘IPHONE’katika kipindi cha mauzo yake ya mwisho ya baada ya kiwango cha uchumi wa China kushuka.
Apple ilifanikiwa kuuza simu za Iphone zipatazo milioni sabini na tano katika miezi mitatu ya mwisho wa mwaka 2015,na mauzo yamekua yakipanda kwa kiwango kidogo tangu uzinduzi wa simu hizo mwaka 2007.
Faida ambazo zimapatikana katika robo ya bidhaa hizo ni zaidi ya dola bilioni kumi na nane.
Comentarios