LEO NI SIKU KUU YA MLK MAREKANI

Aliwapa wengi matumaini kwa hotuba yake maarufu I HAVE A DREAM yaani (nina ndoto) alio itoa mwaka wa 1963.kiongozi huyo alipata tuzo ya NOBEL mnamo mwaka 1964,wakati ambapo rais wa wakati huo LYNDON JOHNSON alitia sain mswada muhimu wa haki za binadamu. King aliuwawa tarehe 4,april mwaka 1968 mjini MEMPHIS,TENBESSEE alipokua anajiunga na wafanyakazi weusi wa kizoa taka  ambao walikua wakiandamana kudai malipo nafuu.

Comentarios