MECCACHEKA (KIBANTU) prd by mesen selekta COMMING SOON

Siku za karibuni kundi la muziki wa kizazi kipya maarufu kama MECCACHEKA kutoka Arusha wamekua wakiwapa furaha shabiki zao kwa kupost picha na vionjo vya nyimbo yao mpya ijulikanayo kama (KIBANTU) kwenye account za mitandao ya kijamii.

Na wamekua wakionyesha jinsigani wanapenda shabiki zao kwa kuandaa group katika mtandao wa WHATSAPP, nlijaribu kumtafuta mmoja wa kikundi na kufanya nae mahojiano mafupi kuhusu kuanzishwa kwa group hilo.
(MWIROW)- Dhumuni la kuanzishwa kwa group hilo ni kua karibu na shabiki zetu na kujua kinacho endelea kwenye kazi zetu zinazo kuja hapo mbele..

Comentarios