TABIA YA UTONGOZAJI KWENYE MAGROUP YA WHATSAPP YAKITHIRI..

Ninjia rahisi iliyoko katika mtandao wa kijamii wa(whatsapp) kuonganishwa na watu zaidi ya kumi na kuendelea. Ijulikanayo kama whatsapp group.

Ila kuna baadhi ya watu wanatumia njia hiyo kwa kutusi,kutongoza na kubeza wenzao katika group,nakutokujua kwamba kuna watu wenye heshima zao miongoni mwao.

Na njia hii imekua ikitumiwa na watu maarufu kama wasanii ili kuwa karibu na washabiki zao.

Na habari ilio tufikia leo ni kwamba kwenye group moja nlishuhudia left ya namba ya mtu ambae ni dada mmoja ,ilikua hivi

Hivi ndivyo ilivyo.

Tunaomba hatua zifatwe..

Comentarios