"PICHA ZA NGONO"zaonyeshwa mazishini..

Uchunguzi unaendelea baada ya picha za ngono kuonyeshwa katika televisheni wakati wa maombezi ya baba na mwanawe.

kanisa lilokua ikifanyika ibada

 

                                
Ibada ya SIMON LEWIS mwenye umri wa miaka 33 na mwanaye ilifanyika katika eneo la kuchoma maiti la CARDIF THORNHILL siku ya juma tano.

Kiongozi wa ibada hiyo LIONE FARITHPE alisema kwamba kisa hicho kiliwaacha waombolezaji wakiwa wamekasirika na mamlaka ya CARDIF ikaomba msamaha kwa familia kwa kisa hicho cha heshima 

Bwana LEWIS na mwanae walifariki kufuatia ajali mjini CARDIF katika siku ya mkesha wa mwaka mpya.

Chombo cha habari cha media wale kilikitipoti  madai kutoka kwa muombolezaji ambaye hakutaka jina lake lijulikane kwamba picha za ngono zilizoonekana katika runinga hiyo.

Runinga nne zilitumika kuonyesha risala za rambi rambi na baraza hili lilisema kwamba televisheni ilionyesha picha hizo chafu ilikua imewekwa hivi majuzi.


"Tunajaribu kubaini iwapo runinga hiyo mpya ambayo ni aina ya SMART TV huenda ilinasa picha hizo kwa bahati mbaya kupitia bluetooth ama wavu wa WI-FE"alisema msemaji

Comentarios