mkuu wa zamani wa genge la mafia amepigwa risasi nchini Canada.
ROCCO ZITO,aliye kuwa na umri wa miaka 87,aliuwawa nyumbani mwake mjini Toronto Canada.
Mkewe,(DOMINIC SCOPILLIT), ameshtakiwa kwa mauaji hayo,baada ya kujisalimisha kwa polisi.
Kwa miaka kadhaa,Rocco zito alikua kati ya viongozi wa kundi la mafia,'Ndrangheta',lenye asili ya Calabria,Italiana,na alikua akiongoza katika uhalifu nchini Canada.
Polisi walisema waliwasili nyumbani kwa Zito na wakampata keshapigwa risasi.
Juhudi za kumuokoa hazikufua dafu.
Aliaga dunia kabla ya kufika hospitalini.
Zito alizaliwa mwaka 1928 mjini Fiumara Calabria,Italy,mwaka 1928 alihamia Canada miaka ya 1950.
Alihusishwa na visa vya utovu wa usalama wa magenge ya Ndrangheta New york,Montreal na Italy
Polisi nchini Italy wanasema kuwa genge lake ndilo linalo langua mihadarati aina ya kokaini barani ulaya.
Comentarios