Jenerali anaempinga rais wa muda mrefu wa Uganda amekamatwa jumapili kwa mujibu wa wakili wake.
Amesema Jenerali DAVID SEJUSA ambae amemuita Rais YOWERI MUSEVEN,Dikteta anashikiliwa katika kambi ya kijeshi katika mji mkuu wa Uganda Kampala.
Si serikali wala jeshi lililoweza juu ya kukamatwa kwa SEJUSA.
MUSEVENI ameongoza Uganda tangu mwaka 1986 alipo ongoza kundi la uasi akiwa pamoja na Sejusa dhidi ya serikali
Walioishutumu kwa kuomba kura
Hivi sasa Sejusa anamdhutumu Museven kwa kukiuka makubaliano waliyoweka katika vita hivyo vya msituni.
Comentarios