Baclarys premier yabadilishwa jina. Soma hapa..

Ligi kuu uingereza "premier league" wameachia logo mpya itakayo anza kutumika kuanzia msimu ujayo wa 2016/17.

"Kuanzia msimu ujao,ligi kuu ya uingereza itakua premier league bila ya mdhamini yeyote kama ilivyozoeleka "

Uamuzi wa kubadilisha utambulisho wa ligi ulichukuliwa kama sehemu ya mkataba kati ya klabu za ligi kuu kutoka mwezi july 2015 kwa kutoa alama ya wadhamini kwenye logo ya ligi

'FROM NEXT SEASON WE WILL MOVE AWAY FROM TITLE SPONSORSHIP AND THE COMPETITION WILL BE KNOWN SIMPLY AS THE PREMIER LEAGUE, A DECISION WHICH PROVIDED THE OPPORTUNITY TO CONSIDER HO WE WANTED TO PRESENT OURSELVES AS AN ORGANISATION AND COMPETITION', alisema mkurugenzi mtendaji wa ligi kuu uingereza, RICHARD MASTERS.

Alama za simba na jina la mdhamini zilikua  kwenye logo hiyo tangu mwaka 1993, Baclarys walikuwa wadhamini wakuu wa ligi hiyo.

Comentarios