Kundi la muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania kutoka Arusha(MECCACHEKA) Wanatarajia kuachia nyimbo yao mpya ijulikanayo kama KIBANTU waliyo fanya na producer anae tamba kwenye game ya mziki()MESEN-SELEKTA, Nyimbo hiyo ambae imetamba katika mitandao ya kijamii kama,Facebook,twitter,Instagram na Whatsapp,baada ya kuwapa shabiki zao kionjo cha nyimbo hiyo. Audio hiyo inatambulishwa rasmi ijuma ya tarehe tano february. Follow @mecca_chekatz, @mesenselektatz
Comentarios