Watu kadhaa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la simba mtoto na Lori la mizigo, wilayani korogwe Mkoani Tanga , kamanda wa polisi mkoani humo, Frasser kasai amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo kupitia kipindi cha redio ya cloudsfm #LEOTENA
Comentarios