MVUA HATARI: Yafunga barabara Arusha.

Jana majira ya jioni mida ya saa mbili Arusha ilinyeesha mvua kubwa.

Mvua hiyo ilileta madhara kama miti kuvunjika na kuvunja magari hadi kupelekea kuleta jam ya magari barabarani maeneo ya stendi ndogo,mkoani ARUSHA.

Comentarios