Rihanna yuko kwenye ziara ya kutangaza albamu yake kwa sasa ya ANTI na amefanyiwa interview hivi karibuni na "The ellen DeGeneres show"
Rihanna kaulizwa kuhusu mahusiano yake na kusema "I'm single right now, Ijust think that i have so much on my place that I can't even find the time to entertain a steady relationship or anything serious or even a text. Right now,it's just crayzy"
"Sina muda wa mahusiano kwa sasa,mambo mengi kwenye sahani yangu,siwezi kuwa na mahusiano yanayo eleweka"
Kuhusu kufanya kufanya kazi na Drake kwenye wimbo wa 'WORK',anasema
'I'would love to go on tour with Drake',she said,that has to happen.
Comentarios