Christian bella
'Nilimshudia mke wangu akijifungua live, nikaona mateso anayo yapata nilibidi ni heshimu wanawake wanatakiwa kuheshimiwa tofauti na tunavyo wachukulia'ALISEMA.
Wimbo huo wa Nani kama mama, amemshirikisha msanii ajulikanae kama Ommy Dimpoz.
Comentarios