Waziri mmoja wa Afrika kusini kuwa kinyume cha sheria ufadhili wa elimu ya wasichana wanaopita kipimo cha ubikira.
Mwezi uliopita,Manispaa ya uthukela katika jimbo la kwazulu natal nchini Afrika kusini ilisema itawapa zawadi wanafunzi 16 wakike kwa masharti kwamba wasalie mabikira.
"Mpango huo ulilenga kupunguza maambukizi ya virusi vya HIV na mimba za mapema miongoni mwa wasichana",alisema Meya Dudu Mazibuko.
Katika taarifa la gazeti la Daily Maverick,waziri wa maendeleo ya kijamii BATHABILE DLAMIN alielezea upimaji wa bikira kama usiowezekana,mchafu na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu.
"Kujamiana kwa mara ya kwanza hakutakikani,licha licha ya hiyo kuna unyanyapaa miongoni mwa wasichana ambao hufeli kipimo hicho",alisema,akiutaja mpango huo kama kosa la kingono.
Bi. Dlamini, ambayeni kiongozi wa chama cha ANC upande wa wanawake ndio kiongozi mwenye hadhi ya juu kupima kipimo hicho.
Comentarios