Mbwa ni rafiki mkubwa wa binadamu.
Hilo linafahamika kote duniani iwe ni Afrika, Ulaya, marekani na hata kusini mwa marekani.
Kwa hali halisi kitoweo cha mbwa no mwiko katika jamii nyingi barani Afrika,,, lakini sio nchini Ghana!
Kandiga ni mji mdogo ulioko kaskazini mwa Ghana.
Kitoweo hicho ambacho ni maarufu kaskazini mwa Ghana nikama mbuzi wakuchemshwa ama hata kuku was kienyeji aliyechemshwa na kuuzwa mtaani na mama ntilie.
Kichwa chemsha cha mbwa kinagharimu Cedis 14 sawa na dola tatu na senti 60.($3.60)
Mkia wa mbwa unauzwa ghali zaidi cedis 15($3.60).
Vipande vingine vidogo vidogo vya nyama ya mbwa aliyechemshwa akawa rojo anauzwa kwa cedis moja.
Comentarios