Tangu bangi ihalalishwe kutumika kama dawa ya matibabu katika majimbo 25 na vilevile kutumiwa kama kilevi cha burudani katika majimbo manne nchini Marekani, mauzo ya bidhaa hiyo yameongezeka na kufikia takriban dola bilioni tano. Hata hivyo wawezekaji bado wana wasiwasi kujitumbukiza katika biashara hiyo. Nini mtazamo wako kuhusu suala hili? Tweets @naseebtz
Comentarios