"Nawaomba sana mniache nimalize niliyoyaahidi niyatimize kwa kipindi hiki cha miaka mitano sitegemei mtu aje kunichelewesha"
- Rais wetu Dkt.John Pombe Magufuli aliyasema hayo jana ktk uzinduzi wa kituo cha mawasiliano cha Polisi Call Centre Biafra Kinondoni, kitakachorahisisha mawasiliano kwa upatikanaji wa taarifa za wahalifu kutoka kwa wananchi.
Kupata msaada wa haraka wa jeshi la polisi piga no. 111 au 112
Comentarios