SIMU YA SHILOLE YAFUNGIWA..!

Mwanamziki wa kike wa bongofleva(shilole) afungiwa simu.

Nibaada ya kujiandaa kwenda location kushoot video nakusahau simu yake ya mkononi kwenye hotel aliyofikia Capetown
Baada ya kurudi akakuta ile room imefungwa..  TAFAKARI

               FOLLOW @Naseebtz

Follow @shilolekiuno_badgirlshishi

Comentarios