Waziri Mkuu Uingereza kujiuzulu

Upande wa "Ondoka" washinda katika kura ya maoni na hivyo kuifanya Uingereza kuwa nchi ya kwanza kujitoa katika Umoja wa Ulaya.Waziri Mkuu David Cameroon atangaza kujiuzulu ifikapo Oktoba katika mkutano mkuu wa chama chakeHesabu ya mwisho ya kura - "Ondoka": 17,410,742 yaishinda "Baki": 16,141,241Thamani ya Paundi yashuka katika viwango vya chini kuliko vyote katika kipindi cha miaka 31

Comentarios