Diamond:Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike, Halaf mtoto nae Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya mtoto wakiume.. basi unajionea Mashia Muruaaaaaaaaaaaaaaaa😊😄😍😚😍...Lol yani Hapa najikuta kama sjui Biligeti Mzee wa Kwio😊😆 😘😍💞💕💝 Mi nampenda huyu dada Mwe🙆😟 @zarithebosslady
Comentarios