Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya shetta Anatarajia Kuanza ziara Ya Nyimbo yake mpya Ya Walewale Mwishoni Mwa Mwezi Huu Kwa Mujibu Wa Manager Wake Mx carter amesema Pia Wana EXclusive ya kuzindua Video Ya Wimbo Wake Huowa walewale Kwenye Hii ziara !!! Kaa Nasi Kwa Habari zaidi !!!
Comentarios